Exodus 9:1

Pigo La Tano: Vifo Vya Mifugo

1 aNdipo Bwana akamwambia Musa, “Nenda kwa Farao ukamwambie, ‘Hili ndilo Bwana, Mungu wa Waebrania asemalo: “Waachie watu wangu waende ili wapate kuniabudu.”
Copyright information for SwhKC